Monday, October 17, 2011

SIRTE BADO KIZUNGUMKUTI!

Wanajeshi wa Baraza la Mpito la Libya

Wapiganaji wa serikali ya mpito ya Libya wanajaribu kutafuta mkakati mpya wa kuweza kuwatimua wanajeshi watiifu kwa Kanali Gaddafi katika eneo lao, mjini Sirte.
Mwandishi wa BBC anasema wapiganaji wa serikali wamepoteza dira na shime, baada ya mapigano ya siku kadha.
Mwandishi wetu anasema hali ni ya mtafaruku na ghasia.
Yeye na wenzake wamelengwa kwa risasi na wanajeshi wa Gaddafi wenye shabaha kali, mjini Sirte.
Kijana mmoja wa Libya aliyekuwa pamoja nao aliuwawa

No comments:

Post a Comment