Mhe. Harrison Mwakyembe (Mb), Naibu Waziri wa Ujenzi alipojumuika pamoja na Watanzania wanaoendelea na matibabu katika hospitali ya Apollo Chennai, India. Nyuma ya Mhe. Waziri ni Mwambata wa Afya katika Ubalozi wetu nchini India, Dr. Kheri O. Goloka na Mama Mwakyembe na wengine ni madaktari na wauguzi wa hospitali hiyo.
No comments:
Post a Comment