Msanii mpya kutoka AMBA RECORDS iliyoka Dar, Msanii anaitwa WESU, sasa ameachia kazi yake ya kwanza kwa ajili ya kumtambulisha. Wesu ni msanii anaetokea Dar.
Wimbo wake unaitwa "NGOJA KUKUCHE". Ni story ambayo inajieleza yenyewe kama ukiiskiliza kwa makini, imewakilisha maisha ya kawaida.
Naomba huu wimbo pleese
ReplyDeletenaomba huuwimbo jaman
ReplyDelete