Friday, September 16, 2011

BEHIND THE SIN YA VIDEO YA MGANGA

Baada ya kusumbuka sana kuhusu huyu ndipo Sajna alipata wazo la kwenda kwa mganga kwa lengo la kupata sapoti ya kuweza kumpata mrembo, mganga alimpa masharti ambayo mchizi alijaribu kuyafanyia kazi akiamini atafanikisha.
Josefly, Eryne & Sajna

No comments:

Post a Comment